Hafla ya chakula cha mchana kwa Rais wa Poland

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya chakula cha mchana alichomuandalia mgeni wake Rais wa Poland Andrzej Duda Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.

Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, Marais Wastaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein na Amani Abeid Karume pamoja na Spika Mstaafu Anne Makinda wakiwa kwenye hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya Rais wa Poland Andrzej Duda Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.

Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya Rais wa Poland Andrzej Duda Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsindikiza mgeni wake Rais wa Poland Andrzej Duda Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni