NHC kuijengea TMDA tanuru la kuchomea taka

 

Shirika la Nyumba la Taifa NHC limekamilisha makubalino  ya kuijengea Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) tanuru la kuchomea taka pamoja na ghala la kuhifadhia taka zinazotakiwa kuteketezwa.

Meneja Manunuzi wa TMDA Bi. Dontha Koko amesema analiamini Shirika la Nyumba la Taifa kwani wamekua wakishirikiana nao vyema katika miradi mingine mingi ya ujenzi na kufanikisha vyema.

Chapisha Maoni

0 Maoni