Majaliwa ashiriki Mkutano wa Kundi la G77 na China

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mshauri Mkuu wa Masuala ya Fedha kutoka Kituo cha Kusini Yuefen Li, ambacho ni Muunganiko wa Serikali kwenye Mataifa yaliyoendelea, wakati wa Mkutano wa Tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kundi la G77 na China  uliomalizika Januari 22, 2024 katika ukumbi wa Rwenzori Speke Resort Munyonyo jijini Kampala nchini Uganda. Katikati ni Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Hussein Kattanga Mheshimiwa Majaliwa amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na mshauri mkuu wa masuala ya fedha kutoka Kituo cha Kusini, Yuefen Li, ambacho ni Muunganiko wa Serikali kwenye Mataifa yaliyoendelea, wakati wa Mkutano wa Tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kundi la G77 na China  uliomalizika Januari 22, 2024 katika ukumbi wa Rwenzori Speke Resort Munyonyo jijini Kampala nchini Uganda. Katikati ni Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Hussein Kattanga Mheshimiwa Majaliwa amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kundi la G77 na China, kwenye mkutano wa Wakuu hao, uliomalizika Januari 22, 2024 katika ukumbi wa Rwenzori Speke Resort Munyonyo jijini Kampala nchini Uganda.  Mheshimiwa Majaliwa amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni