Waziri Mkuu akabidhi viti vya magurudumu kwa watu wenye ulemavu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsaidia kusukuma kiti cha magurudumu, Rahel Buzali baada ya kumkabidhi kiti hicho katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Ulemavu Duniani yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya jiji, Mtumba, Dododma, Disemba 2, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsaidia kusukuma kiti cha magurudumu, Kasilo Kassim baada ya kumkabidhi kiti hicho katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Ulemavu Duniani yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya jiji, Mtumba, Dododma, Disemba 2, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama viatu wakati alipotembelea mabanda ya maonesho katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Ulemavu Duniani yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya jiji, Mtumba, Dododma, Disemba 2, 2023. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni