Umoja wa Makampuni ya Simu wachangia milioni 200 Hanang’

 

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye, leo Desemba 4, 2023 amepokea mchango wa kusaidia waathirika wa Mafuriko yaliyotokea Wilayani Hanang’, eneo la Katesh, ambapo Umoja wa Makampuni ya Simu (TAMNOA) wametoa zaidi ya milioni 200 kusaidia waathirika hao.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye, leo Desemba 4, 2023 amepokea mchango wa kusaidia waathirika wa Mafuriko yaliyotokea Wilayani Hanang’, eneo la Katesh, ambapo Umoja wa makampuni ya Simu (TAMNOA) wametoa zaidi ya milioni 200 kusaidia waathirika hao.

Chapisha Maoni

0 Maoni