Menejimenti ya NEC na ZEC zakutana Zanzibar

 

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Ndugu. Ramadhani Kailima (kushoto) na Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume ya Uchaguzi  ya Zanzibar (ZEC), Ndugu Thabit Idarous Faina wakiongoza kikao cha pamoja cha Menejimenti ya NEC na ZEC kilichokutana leo Disemba 11,2023 katika ofisi za ZEC Mkoa wa Mjini, Zanzibar. (Picha na NEC).

Menejimenti ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Menejimenti ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) zikiongozwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Ndugu. Ramadhani Kailima  na Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume ya Uchaguzi  ya Zanzibar (ZEC), Ndugu Thabit Idarous Faina wakiwa katika kikao cha pamoja cha Tume hizo kilichokutana leo Disemba 11,2023 katika ofisi za ZEC Mkoa wa Mjini, Zanzibar. (Picha na NEC).

Chapisha Maoni

0 Maoni