SIKU YA USAFI: Waziri Jafo ashiriki kufanya usafi soko la Machinga

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiongoza zoezi la usafi wa mazingira ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Usafi Duniani katika soko la Machinga jijini Dodoma leo Septemba 15, 2023.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akisukuma toroli la taka kuzipeleka katika gari maalumu la kukusanyia taka wakati wa zoezi la usafi wa Mazingira kuadhimisha Siku ya Usafi Duniani katika soko la Machinga jijini Dodoma leo Septemba 15, 2023.

Chapisha Maoni

0 Maoni