Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 376 katika siku ya maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Katika taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni imeeleza kuwa rais amefanya hivyo kwa mamlaka aliyonayo kwa kuzingatia vigezo mbalimbali vinavyosimamiwa na Bodi ya Parole.
Taarifa ya Waziri Masauni imeeleza kuwa kati ya hao ni wafungwa 6 pekee ndio watakaoachiwa huru tarehe 26/4/2023 na wengine 170 watabaki gerezani kumalizia sehemu ya kifungo kilichobaki baada ya kupewa msamaha huo.
BAADHI YA VIGEZO HIVI HAPA
0 Maoni