Dkt. Mwigulu afanya mazungumzo na Mhandisi Masauni

 

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 20,2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mhandisi Hamadi Masauni, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. 

Viongozi wengine walioshiriki katika mazungumzo hayo ni Naibu Waziri  Ofisi ya Makamu wa Rais -  Muungano na Mazingira, Dkt. Festo Dugange na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais  - Muungano na Mazingira, Dkt. Richard Muyungi.



Chapisha Maoni

0 Maoni