Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe
Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Congo (DRC) Mhe. Felix Antoine Tshisekedi,
uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum na Waziri wa Ushirikiano wa Kikanda wa
nchi hiyo, Mhe. Floribert Anzuluni, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe
24 Oktoba, 2025.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Felix
Antoine Tshisekedi na Waziri wa Ushirikiano wa Kikanda wa Nchi hiyo, Mhe.
Floribert Anzuluni, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe
24 Oktoba, 2025.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika
picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
(DRC) Mhe. Felix Antoine Tshisekedi na Waziri wa Ushirikiano wa Kikanda wa Nchi
hiyo, Mhe. Floribert Anzuluni, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es
Salaam, tarehe 24 Oktoba, 2025.

0 Maoni