Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Samora katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Iringa tarehe 07 Septemba, 2025.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika uwanja wa Samora katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Iringa tarehe 07 Septemba, 2025.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akipunga mkono akiwa katika uwanja wa Samora katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Iringa tarehe 07 Septemba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika uwanja wa Samora mkoani Iringa tarehe 07 Septemba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika uwanja wa Samora mkoani Iringa tarehe 07 Septemba, 2025.
0 Maoni