Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongea jambo na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Asha-Rose Migoro katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2025.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi wa kwanza kulia, akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2025.
Viongozi mbalimbali, wasanii pamoja na wananchi waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2025.

0 Maoni