Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention center (JKCC) Mkoani Dodoma tayari kwa Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo Julai 17,2025.

Viongozi na wageni mbalimbali walioalikwa kuhudhuria Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, inayozinduliwa  leo Julai 17,2025 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention center (JKCC) Mkoani Dodoma.

Wageni mbalimbali walioalikwa kuhudhuria Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, inayozinduliwa  leo Julai 17,2025 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention center (JKCC) Mkoani Dodoma.

Chapisha Maoni

0 Maoni