Mbowe aibuka kwenye uzinduzi wa DIRA ya Taifa ya 2050

 

Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ni miongoni mwa wageni wanaoshiriki hafla ya uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo Julai 17, 2025.

Uzinduzi huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete (JKCC) jijini Dodoma, ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Chapisha Maoni

0 Maoni