Rais Samia apokea gawio kutoka mashirika ya umma

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Gawio la Serikali kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA Godfrey Nyaisa katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Gawio la Serikali kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Ruth Zaipuna katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo kwa Mashirika ya umma na Taasisi mbalimbali zilizofanya vizuri katika uchangiaji kwa mwaka 2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Juni, 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo kwa Mashirika ya umma na Taasisi mbalimbali zilizofanya vizuri katika uchangiaji kwa mwaka 2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali kwenye hafla ya kupokea Gawio la Serikali iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Juni, 2025.

Chapisha Maoni

0 Maoni