Rais Samia akifungua mradi wa maji na usafi wa mazingira Lamadi

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa kuashiria ufunguzi wa mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025.

Shamrashamra za ufunguzi wa mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Nyashimo wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi Busega mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya shukrani kutoka kwa Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso mara baada ya kuweka jiwe la msingi mradi wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kuwahutubia wananchi wa Nyashimo, Busega mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025.

Chapisha Maoni

0 Maoni