TANESCO imewatangazia wateja wake kuwapo kwa changamoto ya manunuzi umeme (LUKU) inayosababisha kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu na njia za kibenki leo tarehe 05/04/2025 majira ya saa kumi na mbili na nusu asubuhi.

0 Maoni