Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya Tuzo za Mlipakodi Bora wa mwaka 2023/24 iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Tuzo za Mlipakodi Bora wa mwaka 2023/24 Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Tuzo ya mlipa kodi binafsi mwenye hadhi ya juu, Mmiliki wa Kampuni za Bakhresa Group, Said Salim Bakhresa kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Tuzo za Mlipakodi Bora wa mwaka 2023/24 kwa wafanyabiashara wanaomiliki Makampuni mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Januari, 2025.

0 Maoni