Mkutano wa Msigwa ndahi ya Hifadhi ya Taifa Mikumi

 

Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amemaliza mkutano wake alioufanya ndani ya Hifadhi ya Taifa Mikumi huku watalii wakionekana na wanyama mbalimbali wakikatiza hapa na pale akiwemo Ngiri.

Uongozi wa TANAPA unawakaribisha sana, Hifadhi za Taifa Tanzania kufanya mikutano mbalimbali ya nje huku mkijionea wanyama. Pia wana vyumba vya mikutano na makazi yakutosha.






Chapisha Maoni

0 Maoni