TRC yakanusha uzushi kuhusu treni ya mchongoko

 

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limekanusha taarifa potofu zinazosambazwa na watu mbalimbali kuhusu kusimama kwa treni za EMU- Electric Mutiple Unit, (Mchongoko) kutokana na changamoto ya umeme.



Chapisha Maoni

0 Maoni