Waziri Mkuu akutana na Balozi wa Kuwait

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Kuwait nchini, Mubaraka Mohamed Alsehaijan, ambaye alikwenda kuaga ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma, Septemba 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini, Mubaraka Mohamed Alsehaijan, ambaye alikwenda kuaga ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma, Septemba 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya picha yenye mlima Kilimanjaro na twiga, Balozi wa Kuwait nchini, Mubaraka Mohamed Alsehaijan ambaye alikwenda kuaga baada ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma, Septemba 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni