Rais Samia azindua hospitali ya Wilaya ya Gairo

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Gairo katika Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi Gairo mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024. Mhe. Rais Samia ameanza Ziara ya Kikazi mkoani Morogoro ambapo pamoja na mambo mengine, atazindua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi wakati akizindua Hospitali ya Wilaya ya Gairo mara baada ya kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali mmoja wa wagonjwa aliyelazwa wakati alpozindua Hospitali ya Wilaya ya Gairo mara baada ya kuanza ziara yake ya kikazi Mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali mmoja wa wagonjwa aliyelazwa wakati alpozindua Hospitali ya Wilaya ya Gairo mara baada ya kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024.

Muonekano wa Hospitali ya Wilaya ya Gairo iliyozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni