Matukio katika hafla ya Safari Field Challenge 2024

  

Matukio mbalimbali katika picha ya hafla ya ufunguzi wa msimu wa 9 wa Programu ya “Safari Field Challenge 2024”, kuelekea Tanzania Tour Guides Awards 2024.

Mgeni rasmi katika hafla hiyo iliyofanyika jana usiku jijini Arusha alikuwa ni Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi.

Hafla hiyo inafanyika katika Hoteli ya Gran Melia na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Makonda pamoja na wakurugenzi kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii na Taasisi zake.




Chapisha Maoni

0 Maoni