Dk. Nchimbi asimikwa Uchifu, afanya mkutano wa ndani Same

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mkutano wa ndani na Wanachama na Viongozi wa CCM wa Wilaya ya Same, leo Ijumaa, Juni 7, 2024, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku nne ya kikazi Mkoa wa Kilimanjaro.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akisimikwa kuwa mmoja wa Wafumwa (Chifu) wa Kabila la Wapare Wilaya ya Same, leo Ijumaa, Juni 7, 2024, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku nne ya kikazi Mkoa wa Kilimanjaro.

Chapisha Maoni

0 Maoni