Dk. Nchimbi awasili Katavi leo kuanza ziara ya mikoa sita

Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi na ujumbe wake amewasili asubuhi hii mkoani Katavi kuanza ziara ya mikoa sita nchini. Katika ziara hii anaongozana na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makala na Katibu wa idara ya Organaizesheni, Issa Ussi Gavu.

Chapisha Maoni

0 Maoni