Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais mstaafu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta wakati alipowasili Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21 February, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais mstaafu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta wakati alipowasili Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21 February, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Rais mstaafu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21 February, 2024.
0 Maoni