Rais Samia amjulia hali Mama Mzazi wa Halima Mdee

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Bi.Theresia Ngowi Mama mzazi wa Mbunge wa viti maalum Halima Mdee anaepatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma leo February 01, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni