Mkataba wa Mauziano ya Hisa Kitalu cha Mnazi Bay wasainiwa

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya Maurel &Prom (M&P) iliyofanyika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Mussa Makame (kulia) pamoja na Meneja Mkazi wa Maurel &P Exploration Production Tanzania Limited Nicolas Engel (kushoto) wakisaini Mkataba wa uendeshaji wa pamoja wa Kitalu cha Mnazi bay kwenye hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Mussa Makame (kulia) pamoja na Meneja Mkazi wa M &P Exploration Production Tanzania Limited Nicolas Engel (kushoto) wakionesha Hati ya Mkataba wa Mauziano ya Hisa katika Kitalu cha uzalishaji wa Gesi Asilia cha Mnazi bay baina ya (TPDC) na Kampuni ya M&P kwenye hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.

Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya akizungumza jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) Mhe. George Huruma Mkuchika wakati wa hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya M&P, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiteta jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson wakati wa hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya M&P tarehe 03 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya mara baada ya hafla ya utiaji saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya M&P Chamwino Ikulu mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni