Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu

Wakuu wa nchi wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan wakiingia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) Jijini Dar es Salaam.

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) Jijini Dar es Salaam.

Washiriki kutoka mataifa mbalimbali wakifuatilia Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) Jijini Dar es Salaam.

Chapisha Maoni

0 Maoni