Rais Samia atembelea daraja la JP Magufuli

 

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan atembelea na kukagua Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi Km 3) pamoja na Barabara unganishi, Mkoani Mwanza.

 

Muonekano wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi Km 3), lililotembelewa leo na Rais Mhe. Samia



Chapisha Maoni

0 Maoni