Mgombea
wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa
Mkoa wa Manyara kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Babati mjini katika
muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani humo tarehe
04 Oktoba, 2025.
Mgombea
wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi Ilani ya
Uchaguzi Wagombea Ubunge wa majimbo mbalimbali ya Mkoa wa Manyara mara baada ya
kuwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika Babati
mjini mkoani humo tarehe 04 Oktoba, 2025.

0 Maoni