Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt.
Asha-Rose Migiro akimpokea Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza Boniface Mkoba
aliyeamua kujiunga na CCM katika mkutano wa hadhara wa Mgombea wa nafasi ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti Dkt. Samia Suluhu Hassan
uliofanyika katika uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza tarehe
08 Oktoba, 2025.
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt.
Asha-Rose Migiro akimpokea Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza Boniface Mkoba
aliyeamua kujiunga na CCM katika mkutano wa hadhara wa Mgombea wa nafasi ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti Dkt. Samia Suluhu Hassan
uliofanyika katika uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza tarehe
08 Oktoba, 2025.
Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza Boniface Mkoba
aliyeamua kujiunga na CCM akivaa fulana ya CCM katika mkutano wa hadhara wa Mgombea wa nafasi ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti Dkt. Samia Suluhu Hassan
uliofanyika katika uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza tarehe
08 Oktoba, 2025.
Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza Boniface Mkoba aliyeamua kujiunga na CCM akiongea katika mkutano wa hadhara wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza tarehe 08 Oktoba, 2025.

0 Maoni