Mgombea
wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Karatu kwa ajili
ya kuzungumza na wananchi katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM
mkoani Arusha tarehe 03 Oktoba, 2025.

Shamra
shamra za wananchi wa Karatu mkoani Arusha walihudhuria mkutano wa hadhara wa
Kampeni za Uchaguzi za mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia
Suluhu Hassan tarehe 03 Oktoba, 2025.

Matukio
mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi za mgombea wa
nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe
03 Oktoba, 2025 Karatu mkoani Arusha

0 Maoni