Atakayevunja Sheria Oktoba 29, asitulaumu - Polisi

 

Jeshi la Polisi limewahakikishia wananchi na wageni watakao kuwa nchini Tanzania kuwa hali ya usalama wa nchi ni shwari sana na hakuna tishio lolote la kiusalama linaloweza kufanya shughuli ya kupiga kura Oktoba 29, 2025 isifanyike kwa amani.




Chapisha Maoni

0 Maoni