Rais Samia aongoza Kikao cha Mwisho cha Baraza la Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025. Kikao hicho cha Baraza la Mawaziri ni cha mwisho cha Serikali ya Awamu ya Sita kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2025.

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akifurahia jambo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025. 

Waziri wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry Silaa kifurahia jambo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025. 

Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega akifuatilia kwa makini Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 14 Julai, 2025, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma na kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akifuatilia kwa makini Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 14 Julai, 2025, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma na kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa akifuatilia kwa makini Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 14 Julai, 2025, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma na kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Chapisha Maoni

0 Maoni