Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi
mbalimbali pamoja na wananchi wa Comoro kwenye Sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa
nchi hiyo zilizofanyika katika uwanja wa Malouzini Jijini Moroni tarehe 06
Julai, 2025.

Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihudhuria Sherehe za
miaka 50 ya Uhuru wa Comoro leo tarehe 06 Julai, 2025. Mhe. Rais Dkt. Samia
amealikwa na Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani kuwa Mgeni Rasmi
katika sherehe hizo.

0 Maoni