Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono walinzi
wa jadi (Sungusungu) kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita na Tabora
waliokuwa wakipita mbele ya jukwaa kuu katika uwanja wa CCM Kirumba mkoani
Mwanza tarehe 20 Juni, 2025.
Makundi mbalimbali ya
walinzi wa jadi (Sungusungu) pamoja na bodaboda kutoka mikoa ya Mwanza, Simiyu,
Geita, Shinyanga na Tabora yakipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa CCM Kirumba mkoani
Mwanza tarehe 20 Juni, 2025.
Matukio mbalimbali
katika mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan pamoja makundi mbalimbali ya walinzi wa jadi (Sungusungu) katika
uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza tarehe 20 Juni, 2025.
Matukio mbalimbali
katika mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan pamoja makundi mbalimbali ya walinzi wa jadi (Sungusungu) katika uwanja
wa CCM Kirumba mkoani Mwanza tarehe 20 Juni, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja makundi mbalimbali ya walinzi wa jadi (Sungusungu) katika uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza tarehe 20 Juni, 2025.

0 Maoni