Naibu Waziri Mkuu na
Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko akifuatiliwa kwa makini hotuba ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhitimisha
shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
tarehe 27 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia na kuhitimisha
shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
tarehe 27 Juni, 2025.
Naibu Waziri Mkuu na
Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko akifurahia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhitimisha shughuli za
Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
tarehe 27 Juni, 2025.
Naibu Waziri Mkuu na
Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko akipiga makofi kufurahia hotuba ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhitimisha
shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
tarehe 27 Juni, 2025.
0 Maoni