Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan, akiweka jiwe la msingi, kuashiria kuzindua rasmi kuanza kwa
ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya CCM, katika hafla iliyofanyika eneo la
Tambuka reli, jijini Dodoma, litakapojengwa jengo hilo. Uzinduzi huo
uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi mbalimbali, wakiongozwa na viongozi na
wanachama wa CCM, umefanyika leo Jumatano, tarehe 28 Mei 2025.

Suluhu Hassan, akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi baada ya kuweka jiwe la msingi, kuashiria kuzindua rasmi kuanza kwa
ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya CCM, katika hafla iliyofanyika eneo la
Tambuka reli, jijini Dodoma, litakapojengwa jengo hilo. Uzinduzi huo
uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi mbalimbali, wakiongozwa na viongozi na
wanachama wa CCM, umefanyika leo Jumatano, tarehe 28 Mei 2025.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na viongozi mbalimbali wa CCM akiwamo Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi baada ya kuweka jiwe la msingi, kuashiria kuzindua rasmi kuanza kwa ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya CCM, katika hafla iliyofanyika eneo la Tambuka reli, jijini Dodoma, litakapojengwa jengo hilo.
0 Maoni