Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya
CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwapungia wananchi alipowasili kwenye Uwanja wa Nguzo Nane wilayani Maswa ambapo alikuwa Mgeni Rasmi katika
Mkutano wa Mkuu wa CCM Jimbo la Maswa Mashariki Mkoani Simiyu, Februari 16, 2025 . Kushoto ni Mbunge wa Maswa Mashariki na Naibu
Waziri Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Mjumbe wa
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akizungumza katika Mkutano Mkuu
wa CCM Jimbo la Maswa Mashariki uliofanyika kwenye Uwanja wa Nguzo Nane, Maswa mkoani Simiyu, Februari 16, 2025.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya
washirki wa Mkutano Mkuu, Jimbo ala Makwa Mashariki wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM , Waziri Mkuu
Kasssim Majaliwa alipowahutubia kwenye uwanja wa Nguzo Nane, Maswa, Februari 16, 2025. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mjumbe wa
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akipokea heshima kutoka kwa
Vijana wa CCM alipowasili kwenye Uwanja wa
Nguzo Nane, Maswa kuwa Mgeni
Rasmi katika Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki Mkoani Simiyu, Februari
16, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mjumbe wa
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akimpongeza Mbunge wa Maswa
Mashariki na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo,
katika Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Maswa Mashariki uliofanyika kwenye Uwanja
wa Nguzo Nane, Maswa mkoani Simiyu,
Februari 16, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).





0 Maoni