Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro James Wilbert Kaji kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).