Bei ya mafuta ya petroli na dizeli zashuka Novemba

 

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zilizoanza kutumika leo Novemba 6, 2024, ambapo bei za mafuta ya petroli na dizeli zimeshuka kidogo.


Kwa taarifa kamili za bei tafadhali bonyeza link hiyo hapo chini:-

https://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2024/11/Cap-Prices-for-Petroleum-Products-November-2024-Kiswahili.pdf

Chapisha Maoni

0 Maoni