Ziara ya Rais Samia Mkoani Katavi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua maghala na vihenge vya kisasa vya kuhifadhia nafaka vya Wakala wa Taifa wa Hifadhi wa Chakula (NFRA) Mpanda mkoani Katavi leo tarehe 14 Julai, 2024. Viongozi wengine katika picha ni Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, Wakala wa Taifa wa Hifadhi wa Chakula (NFRA) Mhandisi Imani Nzobonaliba.

Maghala na vihenge vya kisasa vya kuhifadhia nafaka vya Wakala wa Taifa wa Hifadhi wa Chakula (NFRA) Mpanda mkoani Katavi yaliyozinduliwa leo tarehe 14 Julai, 2024 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo Mpanda katika muendelezo wa Ziara yake ya kikazi mkoani humo. Viongozi wengine katika picha ni Naibu Waziri wa Afya Mhe. Godwin Mollel, Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Katavi Dkt. Serafini Patrice na viongozi wengine leo tarehe 14 Julia 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni