Idara ya
Uhamiaji Tanzania imewaondosha nchini raia wawili wa kigeni baada ya kuwabaini
kuwa wamekiuka masharti ya viza zao za matembezi.
Raia hao ni
Dkt. Brinkel Stefanie mwenye hati ya kusafiria ya Ujerumani pamoja na Chaterine
Janel Almquist Kinokfu mwenye hati ya kusafiria ya Marekani.


0 Maoni