Mamlaka ya
Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa
za mafuta ya petroli hapa nchini zlizoanza kutumika kuanzia Jumatano ya tarehe
3 Septemba 2025 saa 6:01 usiku.
Kwa taarifa kamili ya bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli bofya link hapa chini:-
https://www.ewura.go.tz/uploads/documents/sw-1756846864-Bei%20Kikomo%20za%20Bidhaa%20za%20Mafuta%20Septemba%202025%20.pdf

0 Maoni