Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa akiangalia mabwawa ya kisasa ya ufungaji wa Samaki alipotembelea eneo
la Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye viwanja vya Maonesho ya Nanenane, Nzuguni,
jijini Dodoma Agosti 03,2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa akipewa maelezo na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli
kuhusu zana za kisasa alipotembelea eneo la Wizara ya Kilimo kwenye viwanja vya
Maonesho ya Nanenane, Nzuguni, jijini Dodoma Agosti 03,2025 (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa akikabidhiwa tuzo na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Ushirika
Tito Haule ya kutambua mchango wake katika kuendeleza Ushirika nchini, wakati
wa Siku ya Ushirika ikiwa ni sehemu ya
sharashamra za kuelekea maadhimisho ya maonesho ya sherehe za wakulima,
wafugaji na wavuvi kwenye viwanja vya Maonesho ya Nanenane, Nzuguni, jijini
Dodoma Agosti 03,2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 Maoni