Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Nishani
ya Heshima ya Juu ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (The Grand Cordon) na
Makamu wa Rais wa CISM Kanda ya Afrika Meja Jenerali Maikano Abdullahi kutoka
Nigeria kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Agosti,
2025.

Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipewa Tuzo ya
Heshima ya Uanachama wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (Honorary Member)
na Makamu wa Rais wa CISM Kanda ya Afrika Meja Jenerali Maikano Abdullahi
kutoka Nigeria kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14
Agosti, 2025.

Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
viongozi pamoja na wageni mbalimbali mara baada ya kutunukiwa Nishani pamoja na
kupewa Tuzo ya Heshima ya Juu ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani, Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Agosti, 2025.
Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya kutunukiwa Nishani ya CISM kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salam tarehe 14 Agosti, 2025.
Viongozi pamoja na wageni mbalimbali
waliohudhuria hafla ya kutunukiwa Nishani ya CISM kwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu
Jijini Dar es Salam tarehe 14 Agosti, 2025.

0 Maoni