Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho tarehe 28 Agosti, 2025.

Umati wa wanachama na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi CCM pamoja na wananchi waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho tarehe 28 Agosti, 2025 katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam.

Shamrashamra za Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2025.

0 Maoni