Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi
mara baada ya ufunguzi wa Kiwanda cha mbolea cha ITRACOM Fertilizers Limited
kilichopo Nala, Jijini Dodoma, tarehe 28 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa pamoja
na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye kuashiria ufunguzi wa Kiwanda cha
mbolea cha ITRACOM Fertilizers Limited kilichopo Nala, Jijini Dodoma, tarehe 28
Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na
mgeni wake Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye mara baada ya kuwasili
katika Kiwanda cha mbolea cha ITRACOM Fertilizers Limited kilichopo Nala,
Jijini Dodoma, tarehe 28 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa kumbukumbu
pamoja na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye kabla ya ufunguzi wa
Kiwanda cha mbolea cha ITRACOM Fertilizers Limited kilichopo Nala, Jijini
Dodoma, tarehe 28 Juni, 2025.
0 Maoni