Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa marehemu John Bill Tendwa, Msajili Mstaafu wa Vyama vya Siasa, alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maombolezo na Kuaga mwili wa marehemu Tendwa kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, Desemba 19, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha John Bill Tendwa, Msajili wa Vyama vya Siasa
Mstaafu alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maombolezo na Kuaga mwili wa
marehemu Tendwa kwenye viwanja
vya Karimjee jijini Dar es salaam, Desemba 19, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapa pole familia ya
marehemu John Bill Tendwa, Msajili Mstaafu wa Vyama vya Siasa, alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu
Hassan katika Maombolezo na Kuaga mwili wa
marehemu Tendwa kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es
salaam, Desemba 19, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais
Mstaafu, Jakaya Kikwete alipowasili kwenye viwanja vya Ukumbi wa Karimjee
jijini Dar es Salaam kumuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maombolezo
na Kuaga mwili wa marehemu John Bill Tendwa, Msajili Mstaafu wa Vyama
vya Siasa, Desemba 19, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji
alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maombolezo na Kuaga mwili wa
marehemu Tendwa kwenye viwanja vya
Karimjee jijini Dar es salaam, Desemba 19, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)





0 Maoni